Ajira kwa wanaomaliza dip.kwa chuo cha mipango


H

Hemedi Sheiza

New Member
Joined
Dec 10, 2012
Messages
2
Points
0
H

Hemedi Sheiza

New Member
Joined Dec 10, 2012
2 0
Jamani vip kuhusu ajira kwa wanaomaliza chuo cha mipango na vp ada zao?Naombeni msaadajamani
 
NZURI PESA

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Messages
5,845
Points
2,000
NZURI PESA

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2011
5,845 2,000
Jamani vip kuhusu ajira kwa wanaomaliza chuo cha mipango na vp ada zao?Naombeni msaadajamani
Usitegemee.Wa masters Degree waliotoka MIPANGO wapo kitaa wanasotaI! Kwa ushauri mwingine BORA UENDE VETA UTAKUWA NA UHAKIKA WA AJIRA ndg.Fikiri NI CHUO CHA MIPANGO NA MAENDELEO VIJIJINI.!
Hapo unatarajia AJIRA YA SERIKALI TU! IKIZINDA utakuwa mzururaji.
USHAURI: UNAPOTAKA KUSOMA USITAZAME CHUO,ANGALIA NA UTATOKA NA NINI KITAKACHOWEZESHA AMA UAJIRIWE AU UJIAJIRI
 

Forum statistics

Threads 1,286,242
Members 494,902
Posts 30,888,127
Top