Drydon
Senior Member
- Mar 11, 2019
- 125
- 193
Ndugu zangu naomba kuuliza hivi tangazo la ajira kwa walimu deadline yake ni lin hasa kati ya tarehe 13 au 15 march! maana napata mashaka mchakato wa kuingia OTEAS kwangu umekuwa mgumu siku ya leo tar 13 hata hatua za awali haifunguki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app