S Simeon Member Joined Nov 29, 2010 Posts 61 Reaction score 23 Jan 16, 2011 #1 Serikali imeshatoa ajira kwa walimu wa shahada na stashahada,(fungua web.ya wizara),kazi kwenu sasa,mjiandae kwenda kigoma, lindi,sumbawanga na kwingineko kote kulitumikia taifa
Serikali imeshatoa ajira kwa walimu wa shahada na stashahada,(fungua web.ya wizara),kazi kwenu sasa,mjiandae kwenda kigoma, lindi,sumbawanga na kwingineko kote kulitumikia taifa