Ajira Kuwait

Ajira Kuwait

Ushauri wangu msiende.na nyie mawakala mnaotumika kupeleka watanzania huko uarabuni mnatakiwa kukamatwa.
 
Msiingie kichwakichwa hapa mtapigwa mshindwe kujua pakuanzia
 
Nawaonya HUSITHUBUTU,narudia HUSITHUBUTU,nasisitiza HUSITHUBUTU,nakazia HUSITHUBUTU kwenda huko bila kuunganishwa na mtu unayemjua wewe mwenyewe

Jpili njema ila msisahu ilo neno lenya herufi kubwa.
Husithubutu
Husithubutu
Duh
 
Msiingie kichwakichwa hapa mtapigwa mshindwe kujua pakuanzia
uoga ndio tatizo linalotusumbua vijana wengi Tanzania, hatuna roho ya uthubutu, hatuna roho ya kujilipua kwenye kutafuta mafanikio,

Tunabaki tunalalamika vijana wakichina kuuza yeboyebo na ndala kariakoo wakati sisi tunaogopa kuthubutu kwenye nchi zingine,
tumezungukwa na habari za kizamani kabisa sijui ukienda uarabuni watakunanilii, Kama hiyo ni michezo yako ata ukibaki Tanzania watakunanilii tu.

Mfano vijana wa kichina nchi yao Ina kila kitu, miji mikubwa iliyoendelea lakini wanakuja kutafuta mafanikio nchi Kama Tanzania Tena kuuza ndala.
Wabongo bado sana.
 
Uoga mmeutengeneza wenyewe kwa kuwatapeli watu fedha zao kwa ahadi za kazi kama hizi.
 
ni heri kwenda kufanya kazi kwenye mataifa ya kizungu sio hawa waarabu ni makatili sana nina mdada rafiki yangu yupo oman alikuwa ananitumia video clip za hatari sana wanavyofanyiwa waafrika wenzetu huko uarabuni watu wanateseka sana kwa iyo kama unaweza ni bora ukomae bongo hapa hapa huko utaenda kunyanyasika tu
 
1. Uwe na pass ya kusafiria

2. Utalipia gharama ya 20% ya mshahara wako kwa wakala wa ajira baada ya VISA na MKATABA WA KAZI kutoka kabla ya kusafiri.

Karibu.
Ushauri ili msionekane matapeli kwanini badala ya kuomba commission kwa mtafutaji wa kazi msiombe commission kwa mwajiri, yaani sio mwajiriwa bali mwajiri..)

Pili kama mnatoa ticket bure je hio gharama ya pesa 20% unayotoa ni ndogo au kubwa kuliko hio ticket ?, Na je unapewa ticket ndio unatoa pesa ?, na Je huoni kwamba unaweza ukawa ununua safari ya kwenda kuwa a sex slave au any kind of slave ?....
 
uoga ndio tatizo linalotusumbua vijana wengi Tanzania, hatuna roho ya uthubutu, hatuna roho ya kujilipua kwenye kutafuta mafanikio,

Tunabaki tunalalamika vijana wakichina kuuza yeboyebo na ndala kariakoo wakati sisi tunaogopa kuthubutu kwenye nchi zingine,
tumezungukwa na habari za kizamani kabisa sijui ukienda uarabuni watakunanilii, Kama hiyo ni michezo yako ata ukibaki Tanzania watakunanilii tu.

Mfano vijana wa kichina nchi yao Ina kila kitu, miji mikubwa iliyoendelea lakini wanakuja kutafuta mafanikio nchi Kama Tanzania Tena kuuza ndala.
Wabongo bado sana.
Hao wachina unaowasema hawakuja na madalali wa kihuni kama hawa.
Wachina walikuja wenyewe kwa mikakati na wakishakuja huku wanakuwa huru kutembea popote hawafungiwi ndani,wanakwenda sokoni,wanakwenda baa,madukani bila bughudha.
Kwa hiyo kwenda kutafuta maisha nchi za watu sio hatari ila inategemea umekwenda kwa njia gani.
Hiyo njia ya kuwakabidhisha watoto wa watu kwa waarabu kisha wanafungiwa ndani mwaka mzima,kupokonywa passport sio sahihi.
Hata mimi mwenyewe natafuta kazi za Dubai,Singapore,Qatar lakini siwezi kwenda kwa staili hiyo ya kutoswa.
 
Back
Top Bottom