ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,002
- 29,453
hahahhahahha hya bna pole saanaMi siwezi kushangaa hata wakitoa tamko kwamba hawatoa kabisa hizo ajira japo nami ni mhanga wa hilo lakini dalili zimeshaonekana kabisa hakuna ajira lakini zitakuwepo kwa baadaye za mafungu mafungu ili kuonesha kwamba wametoa
Hahahaha hya buana kwahyo wanaweza kutoa liniHata hiyo mwakani wanaweza wasitoe ajira.
UmefanyajeYani kwa muandiko wako tu n shida
Nadhani kwa kweliTaarifa za uhakika ajira ni mwakani mwezi wa nane
Ajira za maskini na watoto wao hakuna sasa.Hahahaha hya buana kwahyo wanaweza kutoa lini
Yah maisha lazma yaendeleehata wasipotoa hautakua mwsho wa maisha