avogadro78
Member
- Feb 13, 2014
- 76
- 9
wewe ni raisi wa wapuuzi tanzania, kwahyo ukiona sehemu kuna miti mitatu unaweza kusema hilo eneo lina msitu?
waislamu kazi kwenu, hiyo kampuni nawafaham sana
wakuu mbn mnanitisha...Ukitaka kupata ajira huku VALIA KANZU & KIBARAGASHIA!
waislamu kazi kwenu, hiyo kampuni nawafaham sana
Ukitaka kupata ajira huku VALIA KANZU & KIBARAGASHIA!
ongeza Edo kumwembe..Geofrey Lea, Frolian kaijage,
kumbe nao ni waislam duh
tusiishi kwa kukariri asee
Kuna mijamaa ya kule Mikocheni na Ilemela ilikuwa inajitahidi kuzuia DIJITALI, unaona faida za dijitali sasa. Ajira zaidi na wananchi tunapata burudani zaidi. Nyie wa Mikocheni na Ilemela, no substitute to technology acheni mambo yenu ya kizamani alaaa... Nyie mawingu, nyota na independenti acheni hizo wekezeni tu kwenye dijitali treni imeishaondoka. Hapo Azam Tv anachukua wafanyakazi wenu kiuraini. Bravo Azam TV kwa kupanua wigo wa ajira kwa vijana wa kitanzania.
hizo za waislamu
Ukitaka kupata ajira huku VALIA KANZU & KIBARAGASHIA!
sii baada ya kuona elimu kwa wao ni masifuri wamekazania tuu elimu akhera.....ahahahaaa wasirudi upande wa pili mchezo..Then kuna watu walianzisha thread kuwa azam huwahawatangazi nafasi public ninatangazwa kwenye masinagogi ya waarabu!