Lakuchumpa
Member
- Mar 28, 2012
- 73
- 13
Good news kwa wale wote mlokua na shahuku ya kwenda monduli. Nafasi za professional wa kujiunga na jwtz ni mwezi wa tisa. Get ready kuchapa mwendo. Hii ni kutokana na chanzo changu cha habar sababu na mi ni mmoja wa wahanga