Ajira Jeshi la polisi

Pasport uki aplod pale kwenye box si inaonesha ile name ya picha yako au....

Itaonekana baada ya update mbele kule
Haionyeshi kama umeapload kila ukiingia profile unakuta vilevile upload passport. Pia nimetumia leaving badala ya cheti na sijajua kama nayo ni fact. Poor Brain
 
Phone tecno spark 4
Mmmh hapo kidogo kutakua na shida mkuu mana kuna batan hapo kuonekana huwa zinasumbua...

Pia kwa simu inakuaga na shida kiasi tofauti na pc ni 15 dakika unakua ushanaliza ety..

Solution hapo fanya ufanyie kwa pc au kama pc changamoto basi nikufanyie mana nahisi usamhamaliz kila kitu ni vtu vichache tu
 
Nakutumia details zangu nami nina same problem
 
Vip wadau uko makao makuu nini kinaendelea Kwa yeyote mwenye kufaham sio mbaya akaja na chochote kitu🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…