Ajira Idara ya Uhamiaji Tanzania...

Ajira Idara ya Uhamiaji Tanzania...

Statistics

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
3,762
Reaction score
8,003
Amani na salaama wanajamvi.

Pole na mgomo wa EFD na mihangaiko ya hapa na pale.

Nauliza je nina sifa za kujiunga na immigration? Namalizia BAED ya UDSM..

Nawasilisha.
 
wewe subiri ukafundishe KIGURUNYEMBE SECONDARY achana na maswala ya UHAMIAJI! "Ni hayo tu"
 
Mbona mnamkatisha tamaa huyu jamaaa???? Wewe omba kwa kutumia cheti cha form six then ukishapata kazi unawasilisha nondo zako
 
Usiwasikilize wanaokukatisha tamaa, baed dili sana wewe nenda tu, maana kwenye benki hao baed ndo wanaohitajika
 
Unasifa ila inajua lugha ngapi hapa tanzania
?
 
unawivu wewe!

wivu kukwambia ukweli!!???
BAED anaeingia ni mchongo tu... mie mwenyewe ni mwana BAED.. Na nipo sector nyngne i know th situatio dude... tusidanganyane kwa njia halali hupati kazi huko kwengine.
 
najuo kuongea na kuandika kwa ufasaha kiswahili na kingereza. pia kisukuma na kinyamwezi....nikifanya nikiishi na makabila ya kibantu huwa naanza kuwaelewa ndani ya siku3 kama wanakiongea muda wote... nimefanya hvo kwa wahaya, waha, wajita.

am i qualified?
 
Mkuu tulia wewe nenda kafundishe uinue elimu ya Tanzania... Kila la kheri ticha

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
uhamiaji nafasi zao huwa hawabagui wenye shahada but wanachukua watu wachache sana. Mfn mwaka juzi wamechukua watu 50 tu na wanapelekwa kwanza ccp wanapiga depo na mapolisi then ndo unaanza kazi
 
Usiwasikilize wanaokukatisha tamaa, baed dili sana wewe nenda tu, maana kwenye benki hao baed ndo wanaohitajika

teh teh, labda benki yako mkuu, vinginevyo umedanganya kwa 100000000%
 
Usiwasikilize wanaokukatisha tamaa, baed dili sana wewe nenda tu, maana kwenye benki hao baed ndo wanaohitajika

bank gani inahtaji walimu?ebu kafundisheni bwana.
 
Jamani ndio mana kuna fani za kusomea mavyuoni kwahiyo fiti kwenye fani yako. SAWA?.
hayo maneno ya kufit kila idara ni ya kujipa moyo wakati ukiwa chuo.. kwenye reality hakuna kitu kama hicho
 
Back
Top Bottom