Ajira Chopa ya Gwajima

Ajira Chopa ya Gwajima

Idimulwa

Platinum Member
Joined
May 27, 2011
Posts
5,102
Reaction score
2,682
Msaada wadau...mdogo wangu aweza paisha angani hiyo makitu,hajapata ajira rasmi..Naomba connection na mtumishi huyu
 
Halafu huyu mjamaa ni CHADEMA, pata picha uchaguzi mwakani utakuwaje?
 
Msaada wadau...mdogo wangu aweza paisha angani hiyo makitu,hajapata ajira rasmi..Naomba connection na mtumishi huyu
Jinsia ipi?,nasikia anataka rubani wa kike,harafu awe na kishuzi cha haja....
 
Nimepata taarifa kuwa rubani yupo pale pale kanisani kwake naskia ni Mchungaji
 
kila lakheri mwambie ajaribu bahati yake ya ajira.
 
msaada wadau...mdogo wangu aweza paisha angani hiyo makitu,hajapata ajira rasmi..naomba connection na mtumishi huyu

hawezi kupata hy kazi hadi ajigeuze kuwa tahira ashabikie ngono uzinzi.pia lazima aigize ameokoka na awe mfuasi wa hl kundi. Kinyume na hapo nakuhakikishia hata awe na master degree first clas hapati ng'oo na akipata uje useme humu jamvini.
 
Back
Top Bottom