AJIRA: Anahitajika Muuzaji wa DLDM

Mtumaini Mungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2021
Posts
877
Reaction score
1,128
Tumshukuru Mungu, Hakuna kinacho shindikana mbele zake.

Anahitajika Muuzaji wa DLDM, sifa zifuatazo.

1.Awe binti/Mwanamke
2.Umri chini ya miaka 23.
3.Awe amehudhuria mafunzo ya ADDO na awe cheti.
4.Awe tayari kufanya kazi mazingira ya vijijini.

Bonus.
1.Sehemu ya Kulala
2.Chakula cha Mchana
3.Posho kadiri ya mauzo.

Mshahara MAKUBALIANO.

Tuwasiliane
mmagawa817@gmail.com
 
Huwezi kupata huyo mtu chini ya miaka 23,na je kama ukipaa chini ya miaka hiyo akifikisha miaka 23 ndio basi kazi inakoma?
Chini ya umri huo mbona wapo,sasaivi kuna vijana form 1 wanaanza na miaka 13,16 anamaliza form four,
 

DLDM NI KITU GANI?

UPO MKOA GANI?

WILAYA GANI?

BINTI YUPO.
 
Chini ya miaka 23? Utampata hila usimfanye mkeo
 
Pharmtec sina addo jinsia ya kiume ukikosa nicheki
0620244200
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…