Ajira alizoahidi Rais wa awamu ya 5 kwa watanzania ziko wapi?

Kagondo

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
296
79
Tuliambiwa Tanzania ya JPM ni Tz ya Viwanda, huku ajira zikiahidiwa kuwa nje nje.

Sasa vipi nyie mlioko Tz (maana wengne vijijini hawaiti Tanzania) ajira hizo zimeanza? Viwanda je?
 
Mi nahitaji za uuguzi jamani ,nimechoka kufanya dispensari za watu,mara mshara unapewa nusunusu nimechoka kweli Kama kuna mtu au hospitali wanataka watu anishtue jamani 0762405614
 
Mi nahitaji za uuguzi jamani ,nimechoka kufanya dispensari za watu,mara mshara unapewa nusunusu nimechoka kweli Kama kuna mtu au hospitali wanataka watu anishtue jamani 0762405614
Mbona TBS na serikalin juz juz zmetoka nafasi za uuguzi
 
Tuliambiwa Tanzania ya JPM ni Tz ya Viwanda, huku ajira zikiahidiwa kuwa nje nje.

Sasa vipi nyie mlioko Tz (maana wengne vijijini hawaiti Tanzania) ajira hizo zimeanza? Viwanda je?

UNAJUA NIMEANGALIA BAJETI KWNEYE MISHAHARA..INAONEKANA ILIKUWA BAJETI MONTHLY SLARIES ZIWE 556 BILLIONS.UNIANGALIA MATUMIZI KWA MWEZI NDIYO HAYO HAYO. MAANA YAKE HAKUKUAWA NA BAJETI YA AJIRA MPYA..HIVYO NI WABUNGE WABEBE MSALABA KWA KUTOKUWA MAKINI KATIKA KUPITISHA BAJETI
 
Hivi unazani hata zikitangazwa wote,? Bado watu watalalamika so kama ww bado huja pata usisema hazijatangazwa bali sema wewe umekosa kazi sawa
 
Back
Top Bottom