mahundi jimi
Member
- Jan 10, 2013
- 21
- 4
Hivi jamani inakuwaje baadhi ya ajira serikalini zinakuwa na mlolongo mrefu sana mpaka watu kuanza kazi, maana kuitwa kwenye interview nia zaidi ya miezi sita tangu nafasi zinapotangazwa,sasa kuitwa kazini itakuwaje....mfano mzuri ni hawa jamaa wa secretariet ya ajira na tangazo la kiswahili au tra....wanatakiwa wajue kuwa kuna watu tuko mtaani huku tuna wasubiri haaaaa...