Ajira afisa kilimo na mifugo

Ajira afisa kilimo na mifugo

Joined
Mar 6, 2014
Posts
25
Reaction score
6
Jamani nini kinaendelea kwa tulio jaza mikataba, tukapewa vituo vya kazi na tukasitishiwa ajira mwaka jana? afisa kilimo na mifugo UYUI-TABORA?
 
Wenzako wameshapigiwa simu kurudi kuripoti vituo vya kazi tangu mwezi ulioisha Lakin ajira zenu zinatambulika rasmi kuanzia April 6.fuatilia kwa mwajiri wako mkuu
 
wamerudishwa wenye applicant no fuatilia kwa mwajiri maana ma hr wanalala sana
 
Back
Top Bottom