Ajira afisa kilimo na mifugo

Mar 6, 2014
25
6
Jamani nini kinaendelea kwa tulio jaza mikataba, tukapewa vituo vya kazi na tukasitishiwa ajira mwaka jana? afisa kilimo na mifugo UYUI-TABORA?
 
Wenzako wameshapigiwa simu kurudi kuripoti vituo vya kazi tangu mwezi ulioisha Lakin ajira zenu zinatambulika rasmi kuanzia April 6.fuatilia kwa mwajiri wako mkuu
 
Back
Top Bottom