Ajira 71,496 za Angella Kairuki zimeishia wapi?

Abuwhythum

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
837
495
Hadi sasa haifahamiki zimeishia wapi? Walianza kwa mbwembwe kuwa zitatolewa mapema mwaka huu (2016).

Sasa imebakia mwaka huu wa fedha kweli?
 
Back
Top Bottom