Hii serikali ya awamu ya 5 inatatizo gani na hizi ajira za walimu?
Mwezi ulioisha waziri Jafo aliibuka na kusema kwamba kufika january 2018 serikali itaajiri walimu 1300 ili kufidia upungufu wa walimu uliopo hapa nchini lakini mpaka sasa hakuna hatua yoyote inayopitiwa na serikali hii kuelekea ajira hizi kufanyika january
Itakumbukwa serikali hii imeleta mfumo mpya, kwanza lazima watoe namna na nafasi ya kutuma barua na vyeti wakavifanyie uhakiki kwanza ndio watoe ajira, mpaka sasa hii hatua ya awali kuelekea ajira 1300 kuanzia januari siuoni zaidi ni wale walimu wa primary 2000 na shahada 92
Walimu tumechoshwa na siasa za kuropoka pasi na utekelezwaji!
Tupangieni vituo vya kazi mtatuhakiki tukiwa kazini!