RUCCI
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 1,701
- 1,714
Mkazi wa kitongoji cha Harare, Wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, Francis Nkondola, amekufa kwa kujinyonga kwa kamba ya katani huku akimwachia mkewe ujumbe mzito mezani. Ujumbe huo ulisema hivi; "Mke wangu, urudi nyumbani nisomeshee watoto wangu. Nimeamua kujiua mtanikuta kwenye mnara wa simu mkachukue pesa Sh. 500,000 kwa mama, deni ili zisaidie watoto, nimechoka kuzurura kudai pesa zangu."