kwakisa hiki lzma tukubali ukizidisha sana pombe nihatari kwani utakosa busara yakufanya maamuzi!lkn kama hyo mama naye ndio ulikuwa ni utaratibu wake wakumnyima ushilikiano mume wake basi hafai kwani alifuata nini kwenye ndoa...raha ya ndoa nikupeana ushilikiano na kuweka mipango ya maendeleo!
labda niulize yeye hadi saa sita alikuwa wapi tena ya usiku?Ila hili tatizo la kina baba kunyimwa haki ya ndoa linazidi kukua kila kukicha inabidi tuungane wakina baba tuanzishe taasisi za kutetea wanaume kwa sababu wanawake wamepewa nguvu hadi imepitiliza sasa.
Kabisa kabisa, kwanza ile kamba kaipatia wapi, wakati mke wake anasema alitoka na shoka mbili, afu police wanatakiwa wamchunguze huyo mwanamke alikimbilia wapi, kuna harufu harufu ya mke wake kuwa kafanya mauwajai hayo au kuna big deal hapo.inawezekana hajajinyonga mwenyewe inabdi hapo uchunguzi zaidi ufanyike, na huyo mkewe ahojiwe zaidi,
Si alikuwa kwenye vikao vya wazee hujui deal nyingi za kina baba zinapatikana bar?labda niulize yeye hadi saa sita alikuwa wapi tena ya usiku?
Si alikuwa kwenye vikao vya wazee hujui deal nyingi za kina baba zinapatikana bar?
Ila hili tatizo la kina baba kunyimwa haki ya ndoa linazidi kukua kila kukicha inabidi tuungane wakina baba tuanzishe taasisi za kutetea wanaume kwa sababu wanawake wamepewa nguvu hadi imepitiliza sasa.