M mzighani Senior Member Joined Apr 11, 2011 Posts 109 Reaction score 9 Nov 16, 2011 #41 sasa angejua kuwa wengine wanafurahia kuitwa Cameroon, aidha, hata kuitwa David ni hatari lakini wa akina David wengi hawana shida nahiyo.
sasa angejua kuwa wengine wanafurahia kuitwa Cameroon, aidha, hata kuitwa David ni hatari lakini wa akina David wengi hawana shida nahiyo.
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,450 Nov 16, 2011 #42 inasikitisha sana wazazi wamejitahidi kumsomesha labda kwa kujijima sana halafu kijana anajiua kijinga jinga inauma sana poleni sana wafiwa Mungu awatie nguvu
inasikitisha sana wazazi wamejitahidi kumsomesha labda kwa kujijima sana halafu kijana anajiua kijinga jinga inauma sana poleni sana wafiwa Mungu awatie nguvu