Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
Poleni sana wandugu.Mungu atawasitiri
Bush ni nani? America hivo jambo hata kama alilifanya bush ni kwa interest za America hivo huko ndio kusema waamerika wamekuwa chanzo cha haya yote enzi za saddle husein Iraq ilikuwa tulivu na amani ingawa kulikuwa na upinzani mdogo tuHata kama aliyeiharibu Ni Bush, lkn Sasa Huyo Bush hayupo tena huko,, Ni Arabs vs Arabs!
Muslims vs Muslims
Bush ni nani? America hivo jambo hata kama alilifanya bush ni kwa interest za America hivo huko ndio kusema waamerika wamekuwa chanzo cha haya yote enzi za saddle husein Iraq ilikuwa tulivu na amani ingawa kulikuwa na upinzani mdogo tu
South Korea ni kama chai tu kwa wazungu. Tatizo la.Waarabu hawajitambui. Wako kama sisi waafrika. Waarab na Waafrika sisi bongo lala.Wazungu wanantutawala sababu ya ubinafsi. Tazama Saudi Arabia wale wafalme wanavoitajirisha marekani kwa silaha ...Dunia hii iyatawaliwa na wenye Akili. Na hao ni Wanzungu na waisrael. Wengine sisi watumwa tuMarekani ndio chanzo ya yote haya nchi hizi zilikuwa na amani chini ya viongozi wao wakaharibu hizi nchi kwa vita sasa wanajidai kusaidia kwa mazungumzo ngoja north Korea apate kombora moja amlipue us ndio dunia itakuwa na adabu maana jino kwa jino
There are some monsters created by US and its allies so peace can't comes easilyHata kama aliyeiharibu Ni Bush, lkn Sasa Huyo Bush hayupo tena huko,, Ni Arabs vs Arabs!
Muslims vs Muslims