Vyakula vya uswahilini vina ladha yake buana, wakati mwingine ukikomaa kulinda hadhi yako utamiss vingi! Hebu assume nishindwe kununua mihogo kwa mama Hamza na kachumbari ya kukaangwa kisa u'star, haiwezekani aisee, nitanunua tu!

Ila hizo chapati zimenikumbusha Simba wa Yuda, Mwina Kaduguda! Jamaa alipokuwa Katibu Mkuu, alishikilia bondi mipira ya klabu eti kisa arudishiwe na uongozi sh. 6,000/= alizokuwa amejitolea kuwanunulia chapati wachezaji 30 wa Simba, baada ya kuona uongozi umewapa breakfast nyepesi kulinganisha na mazoezi waliyofanya!
Akn k2 kzuri km kuish maisha y kawaida ata ukiwa n pesa kwan baadh y watu waliofanikiw kimaisha n kubadili life style weng uishia kpata maradhi mfano kisukar, BP coz ukimbilia kula vyakula vya thaman mikuku, chips all time