Ndugu zangu wa upande wa pili,kampeni zishaanza na sie uku tuna mengi ya kuuza kwa umma ili watupe tena hizi kata 22 na lile jimbo moja kule Zenji!
Nyie mna nini?
mkuu,kwahiyo hizo ndio ajenda zenu kwa watz?Mngekuwa na ajenda mngetumia jeshi na tume kuhakikisha mnashinda? Wapinzani kuingia kushiriki uchaguzi kwa tume hii ni kupoteza mda kwani hapo hakuna ushindani bali ni kudanganya wazungu kwamba kuna demokrasia nchini.
mkuu,kwahiyo hizo ndio ajenda zenu kwa watz?
kwa njaa walizo nazo watashiriki tu!
mikutano ya ndani hamuifanyi?
tumeanza na hilo,na mengine yatafuata
waambie waige wenzao wa kongo na kenyakwa ujumla nyie hamkubaliki ndio maana siasa za ushindani hamuziwezi. Hapo kinachofanyika ni kufuja pesa za umma ili kuuhadaa ulimwengu kuwa kuna demokrasia. Kwa maoni yangu upinzani ni bora wakaanza mashinikizi ya tume huru kwa kususia hizi chaguzi uchwara mlizopanga matokea kwa hiyo tume inayochaguliwa na mtu asiyeweza siasa za ushindani.
waambie waige wenzao wa kongo na kenya
Unaonaje ukasoma katiba ili uweze kuongeza uelewa wako kuhusu kinachostahili kuwepomikutano ya ndani hamuifanyi?