Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,813 34,193 Jan 31, 2016 #1 Ajenda settingi: Kumbe Serikali kuleta issue ya kutokurusha matangazo live TBC ili issue ya mkwamo wa kisiasa Zanzibar isahaulike. Tutafakari hapo
Ajenda settingi: Kumbe Serikali kuleta issue ya kutokurusha matangazo live TBC ili issue ya mkwamo wa kisiasa Zanzibar isahaulike. Tutafakari hapo
wembeee JF-Expert Member Jan 16, 2015 2,708 1,353 Jan 31, 2016 #3 Mzizimkavu kwenye ubora wako duuh vipicha vyako vinaniachaga hoi
maonomakuu JF-Expert Member Jul 24, 2015 2,516 1,198 Jan 31, 2016 #5 Nafuu mmegundua ngoja tubuni nyingine hhahaha