Ajari za moto za zidi kuteketeza mali Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajari za moto za zidi kuteketeza mali Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Crashwise, Aug 4, 2009.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Baada ya ajari ya TBL, meli ya Bahresa, Nasikia kuna ajari ya moto imeteketeza nyumba zipatazo nne na ofisi ya Tarafa..Mwenye habari atumwangie..
   
 2. Mateso

  Mateso JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2009
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 240
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Natumaini umesikiliza taarifa ya habari jana jioni kuwa ni kweli zimeungua nyumba nne maeneo ya kunduchi.
   
 3. Wa mmoja

  Wa mmoja Member

  #3
  Aug 5, 2009
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijaelewa haswa unachokihitaji...Unataka umwagiwe habari kivipi?Habari nyingine kuhusu moto unavyoteketeza mali za Dar au unamaanisha nini?
   
Loading...