mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 94,077
- 132,547
Ina malipo garama yake nia kam sh 200 kama sijakosea chief!Mkuuu hii huduma yako ni ya bure ama ni malipo.....na ninani anahusika nabutoaji wa huduma hii...mana naona kama inazingua

Duuh kumbe nimekaa kwny jam na baby mda mrefu sana
umenichekesha sana. hapo unataka kutujulisha kuwa unaye baby pia una gari.... dah kweli maskini akipata makalio yake ulia. .....