Ajari mbaya eneo la Lugalo, Dar es Salaam

Ajari mbaya eneo la Lugalo, Dar es Salaam

Jipemoyo

Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
30
Reaction score
16
Mwenye gari namba T351 DDV Subaru Impreza rangi nyeusi amemgonga raia mmoja mwanaume na katimua mbio usiku huu saa 5:22
Alichofanya sio uungwana kwani angesimama na kutoa japo huduma ya kwanza.
 
Tunashukuru kwa kuwahi kukariri namba ya Gari.Mamlaka husika zichukue hadhari
 
Ndio maana kulikua Na folen mida hii
 
Duuh kumbe nimekaa kwny jam na baby mda mrefu sana
 
Mwenye gari namba T351 DDV Subaru Impreza rangi nyeusi amemgonga raia mmoja mwanaume na katimua mbio usiku huu saa 5:22
Alichofanya sio uungwana kwani angesimama na kutoa japo huduma ya kwanza.

hongera sana mkuu hiyo namba ya gari inatosha kabisa shukrani sana kwako naamini umemwanika jamaa uchi wahusika plz fanyieni kazi namba hizi na sheria kali juu ya huyo dereva zichukuliwe
 
kujua jina LA mmiliki wa Gari tuma ujumbe unaosema
assess T351DDV kwenda 15341.
Kwenye Namba ya Gari kusiwe na space Kama Hivi T351 DDV
 
Ajali ni kitu cha kawaida barabarani..., pia jamaa kafanya busara kukimbia. Wakati mwingine ukisababisha ajali mbaya, raia wanaweza kukufanya kitu mbaya.

Hiyo gari iliachwa hapo, ndo maana jamaa kasoma namba
 
Tatizo hao wanaendesha subaru wanajifanyaga wao ndy wanajua kukimbiza magari....wao huwa wanasema mwendo mdogo kwao ni mwizi
 
kujua jina LA mmiliki wa Gari tuma ujumbe unaosema
assess T351DDV kwenda 15341.
Kwenye Namba ya Gari kusiwe na space Kama Hivi T351 DDV

Mkuuu hii huduma yako ni ya bure ama ni malipo.....na ninani anahusika nabutoaji wa huduma hii...mana naona kama inazingua
 
kujua jina LA mmiliki wa Gari tuma ujumbe unaosema
assess T351DDV kwenda 15341.
Kwenye Namba ya Gari kusiwe na space Kama Hivi T351 DDV

Mkuu hapo si jina la mmiliki ila ni kiasi gani cha road licence unatakiwa kulipa
 
Mwenye gari namba T351 DDV Subaru Impreza rangi nyeusi amemgonga raia mmoja mwanaume na katimua mbio usiku huu saa 5:22
Alichofanya sio uungwana kwani angesimama na kutoa japo huduma ya kwanza.

Aisee muda niliopita nimekuta wanajeshi wameshafika na wameweka majan kuzuia magari kupita upande huo...so sad hadi nguo zimeraruka na alikuwa ameshapoteza maisha
 
Back
Top Bottom