Wanajamvi kama kuna mtu yupo maeneo ya suka kabla haujafika suka kituoni kama unatokea ubungo kuna ajari mbaya imetokea.
Watu wengi sana wamejaa na inavyo onyesha ajari hiyo imemuhusisha dereva wa boda boda na inaonyesha kuna mtu kafariki kwani watu wamejaa mtaroni wana angalia na kuna utulivu kweli kweli. kwani barabarani hapo hakuna gari yoyote ile.
Kwa mwanajamvi yoyote atokeaye maeneo ya huko atujuze basi
Na wewe nawe "ajari" ndio nini? wewe kweli Mtanzania hata hujui tofauti ya ajali na ajari? halafu mingi humu inasema Nyerere kaliunganisha taifa kwa kueneza kiswahili. Sasa huyu asiyejuwa ajali na ajari kaunganisha na nani?
na wewe nawe "ajari" ndio nini? Wewe kweli mtanzania hata hujui tofauti ya ajali na ajari? Halafu mingi humu inasema nyerere kaliunganisha taifa kwa kueneza kiswahili. Sasa huyu asiyejuwa ajali na ajari kaunganisha na nani?
jamani! MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI
msamehe alizaliwa baada ya kifo cha NyerereNa wewe nawe "ajari" ndio nini? wewe kweli Mtanzania hata hujui tofauti ya ajali na ajari? halafu mingi humu inasema Nyerere kaliunganisha taifa kwa kueneza kiswahili. Sasa huyu asiyejuwa ajali na ajari kaunganisha na nani?
Nipo chawote hapa ngoja niwahi nikamsaidie marehemu.