Ajali: Iringa-mbeya road

PrN-kazi

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
2,900
444
Imetokea ajari mbaya sana ktk barabara ya Iringa-Mbeya, huwezi amini Lori kubwa lenye Kontena la futi 40 limepinduka tairi zote ziko juu, kichwa cha lori hiyo chote kimejikunjakunja kiasi kwamba uokoaji wa waliokuwemo ndani ni mgumu.

Ajali imeusisha pia basi ambalo halikujulikana ni la kampuni gani lkn ni la kutoka Mbeya kuelekea Dar abiria wa basi wamesalimika japo kua walioumia kidogo, sehemu ya tukio ni katikati ya Mafinga na Makambako.
 
Back
Top Bottom