Ajari gari ya police

Nyang'omango

Senior Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
194
Reaction score
87
Wana jf pametokea ajari ya gar ya Police na Pick up Kilwa Road maeneo ya Bandalini pale BP,kwa wale wana jf waishio Mbagala epukeni njia hiyo maana kuna folen balaa iliyotokana na ubishi wa nan mwenye haki ktk ajari hiyo....
 
polisi wamekufa??? saaafi sana
 
This is Jamii Photo, maelezo ya bure bila picha ni kupotezeana muda
 
This is Jamii Photo, maelezo ya bure bila picha ni kupotezeana muda

We vp...kwani picha ndo habari?? Hebu tuondolee stress hapa halafu sio lazma kusoma kila thread au kuchangia...bahati yako natumia simu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…