Hii ajali imetokea katika barabara ya Shinyanga Mwanza. Hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha, dereva na konda wake wamekimbia. Polisi wamefika eneo la tukio, wakasepa. 'Fire' nao wakazima walipoona hakuna cha kuokoa, wakaishia. HAdi napiga picha hii ni masaa 16 tangu ajali itokee.View attachment 116672View attachment 116676
labda madawa ya kulevya ya ccm
Kama haina casualties hakuna haja ya ku-post hapa
gari ilikuwa imebeba nini?
Jamani ajali ni popote pale,kwamtu yeyote yule hivyo basi tumshukuru mumgu kwakua hamna m2aliye fariki.
Anaweza kuwa mtu unafahamu. Hizo zingine achana nazo, hazina mpango hapa, ndiyo maana comments hakuna!kwani ikiwa na casualities ndo nini. how do you help them?
gari ilikuwa imebeba nini?