Ajali

Ajali

sezary

Member
Joined
May 6, 2013
Posts
8
Reaction score
0
1379496184380.jpg 1379496206317.jpg imetoke kunduchi mdaa man!
 
Kodi zetu hizo. Hawana huruma, wanawapita wanafunzi wakitaabika vituoni kama vile wanawapita nguchiro.
 
So sad vipi hali za majeruhi eneo la tukio na kipi kilichojiri hadi ajali kutokea?
 
Kodi zetu hizo. Hawana huruma, wanawapita wanafunzi wakitaabika vituoni kama vile wanawapita nguchiro.

Wakiwabeba wanafunzi ajali hazitatokea? Nadhani tuwalaumu kwa kutokuwa makini na matumizi mabaya!
 
Wakiwabeba wanafunzi ajali hazitatokea? Nadhani tuwalaumu kwa kutokuwa makini na matumizi mabaya!

Wakipata ajali wakiwa na wanafunzi ndani nitawapa pole. Humo ndani ukichungulia ni mademu zao tu na watoto wa vigogo.
 
ni muhimu kuwapa pole na kuwatakia uponaji wa haraka majeruhi
 
Sasa huo upande si upande wa dereva jamani au ndio mambo ya fb na whatup huku akichungulia na kuperuziii jf kwa mbaliiii??

Au alipokea ki sms kutoka kwa malaya wake???

Wacheni wafe tuuu bwana tushachoka
 
Ni yaleyale Ma-Lancruiser V8,nilishawahi kuuliza humu JF hivi haya magari yanafuatiliwa ubora wake maana mimi hii ninashuhudia sasa kama ajali ya 20,anyways ngoja tusubirie la Prezidaa lifanye ajali nadhani ndio kutafanyika uchunguzi wa kina,why not Nissan Patrol,why not Land Rovers,why not Range Rovers!ajali ya hizi gari sasa tokea yameingia humu nchini ni too much ingawa sijajua kwa nchi nyingine hali ikoje.
 
Kuwahurumia watenda mabaya ni sawa na kuungana nao katika ubaya wao. Hawa ni wa kuombea tu ili Mungu ndo ajue la kuwafanya. Hawa jamaa wana roho za ajabu sana, wanajaliana wao kwa wao, na ikitokea raia wa kawaida akawapakia wanafunzi asubuhi wakati wanakwenda kwa shule, trafiki lazima wamsumbue tu; sijui ni viumbe wa namna gani hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom