Ajali

hahahahah,
hawa wenye kupitisha gari kwenye daraja la mbao walijitakia,

lakini wale watu waliodondoka daraja la mbao pole yao!
 
hahahahah,
hawa wenye kupitisha gari kwenye daraja la mbao walijitakia,

lakini wale watu waliodondoka daraja la mbao pole yao!
Inawezekana wameshafanikiwa mara kadhaa hivyo wakaona ni kawaida
 
Kama sarakasi ya kichina vileee? Anyways, siamini mpaka nione taarifa ya habari hapo baadaye, vinginevyo ni baaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…