Ajali zingine inabidi tucheke

Hahahahahaaa nimzcheka sana jamaa, ama hakika inabid tucheke, aliingiaje uko?
 
Hii itakua imetoke ndotoni akapigwa picha na waliokua nao
 
Kaporomokewa na kifusi. Katika njia aliyokuwa akipita.
 
kwa mara ya kwanza nashuhudia tindiga la mawe na michanga yan anazama taratibu
 
Huko shimoni aliko sijui network ipo!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…