Ajali Zinatumaliza Watanzania


Unajitahidi kufanya yote hayo, safari ndefu toka mwanza kuja dar, unafika mlandizi anakuja traffic anakulazimishia kosa ili utoe chochote na ukiwa umeanza kuchoka unafanyaje hapo? Kosa eti ume overtake lori wakati lilikua limesimama na mbele kulikua clear......??!!
 
Hilo la abiria wa boda boda kuvaa hement 'halizungumziki'.
 
Chanzo cha ajali Magari chakavu..
Bara bara nyembamba...
Speed ya 50km/h nayo ni chanzo watu wanalala sana bara barani kwa sehemu yenye kipande kifupi..
Botswana,SA,Zambia wana 60km/h 80 mpaka 120km/h magari madogo yanatumia muda mchache road sema sisi tumejaza Noah na Ist wacha twende na hiyo hiyo 50km/h na matruck mengi chesesi za kuunga unga kwa sababu ya kupunguza ukali wa kodi..
Yaani ukifika Tunduma kuelekea Dar es salaam ndio kama safari inaanza maana huko sehemu yeyote kama haujagonga umegonga watu wanaendesha magari hovyo sana hasa kuanzia magari ya umma mpaka ya watu binafsi.
 
Pole mkuu bahati mbaya sijawahi kufika UK ila walimu wangu kama watatu walikua wanatoka Huko..

Mimi sipendi ku drive kabisa sababu nilikua addicted wa Racing simulator,so nikiendesha a real car speed 80 naona kama nakuna nazi,.na vile naogopa kufa now napenda kukaa pembeni niendeshwe..drive with care
 
Hao watu wana miundombinu mizuru,magari bora na hawataki upumbavu barabarani. Maisha ya kila mtu yanathaminiwa.
 
Hao watu wana miundombinu mizuru,magari bora na hawataki upumbavu barabarani. Maisha ya kila mtu yanathaminiwa.
System ikiwa corrupt hakuna mahala kutakua na nafuu,barabara mbovu,magari used hadi model ya mwaka 1995 yanakua imported yanauzwa,mafundi ndio wa kina maiko,barabara imejaa vijana wanyoa viduku bodaboda,bajaji hao hawajali green light au red-light,wana overtake popote..

Kuna documentary niliangalia Nigeria wakoloni walivyokua wana manage traffic na barabara,na sasa hivi watu wanaijiria wenyewe wanachofanya,Africa ni huzuni
 
Ajali Tanzania zimekua suala sugu sana huu mwaka tu moyo umetoboka mara mbili kwa kuwapoteza wapendwa wangu hakuna tena imani ya kwenda na kurudi salama no matter upo makini kiasi gani,yaani usipogongwa umegonga🔨

UKweli ukienda safari ukirudi salama shukuru sana.
 
Na CCM wanatumaliza soma ripoti ya chande. Kuhusu baada ya uchaguzi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…