FACTKila siku tunasikia taarifa za ajali zinazopoteza maisha na kuacha familia zikiwa na majonzi. π Hamna mtanzania ambaye yupo salama ambaye anatoka asubuhi kwenda kutafuta. Polis wa usalama barabarani fanyeni kazi kwa weledi ajali zinaepukika.
Tuwe makini barabarani:
π Epuka mwendo kasi.
π΅ Usitumie simu ukiendesha.
πΊ Usiongoze gari ukiwa umelewa.
π¦ Heshimu alama na sheria za barabarani.
π΅ Wapanda pikipiki na abiria watumie helmeti.
π Madereva wapumzike wanapochoka.
Dakika chache za uzembe zinaweza kubadilisha maisha ya familia nzima. Kuna watoto wanateseka siku ya leo kwa kuondokewa na wazazi/mzazi sababu ya ajali.
π Tanzania salama inaanza na mimi na wewe. Tuendeshe kwa tahadhari, tuokoe maisha.
Kama mimi nikikukuta popote pale lazima nikutandike..!!Tusipobadili tabia tutapukutika. Kwa mfano dereva aliyepita service road kumpiga askari wa usalama barabarani inaashiria jinsi gani hatuko tayari kufuata sheria za barabara.
Kutandikwa na crush wangu Lamomy ni sehemu ya mahaba.Kama mimi nikikukuta popote pale lazima nikutandike..!!
Kila siku tunasikia taarifa za ajali zinazopoteza maisha na kuacha familia zikiwa na majonzi. π Hamna mtanzania ambaye yupo salama ambaye anatoka asubuhi kwenda kutafuta. Polis wa usalama barabarani fanyeni kazi kwa weledi ajali zinaepukika.
Tuwe makini barabarani:
π Epuka mwendo kasi.
π΅ Usitumie simu ukiendesha.
πΊ Usiongoze gari ukiwa umelewa.
π¦ Heshimu alama na sheria za barabarani.
π΅ Wapanda pikipiki na abiria watumie helmeti.
π Madereva wapumzike wanapochoka.
Dakika chache za uzembe zinaweza kubadilisha maisha ya familia nzima. Kuna watoto wanateseka siku ya leo kwa kuondokewa na wazazi/mzazi sababu ya ajali.
π Tanzania salama inaanza na mimi na wewe. Tuendeshe kwa tahadhari, tuokoe maisha.
Inatakiwa nikutandike kisawasawa mpaka uache kuitaja veggies..!!Kutandikwa na crush wangu Lamomy ni sehemu ya mahaba.
CCM ni chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote ukiwemo wewe mpuuzi Lamomy. CCM inakupenda Lamomy...Inatakiwa nikutandike kisawasawa mpaka uache kuitaja veggies..!!
Chama kinachoua na kulawiti wananchi kiwe na matumaini? Matumaini ya kuharibu taifa?CCM ni chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote ukiwemo wewe mpuuzi Lamomy. CCM inakupenda Lamomy...
Hakikisha anada*** maana hamna kesi π€£Kama mimi nikikukuta popote pale lazima nikutandike..!!
πΉπΉπΉHakikisha anada*** maana hamna kesi π€£
Subaru yako ikiharibika njoo chukua yangu mateπ€¦π»ββοΈ
Sema akipona atatunyoosha πππΉπΉπΉ
Au nimpitie na subaru kurahisisha kazi? πΉ
Subaru kampuni ninayoiamini sana imekidhi viwango vya kimataifa..!! πΉπΉπΉSema akipona atatunyoosha ππ
Fixed penalty hio Β£100 na point 3 ni zile speeding za kawaida. Mimi nilipia motorway wakati ina bango la ujenzi speed limit iliwekwa 40MPH nilipita na 90MPH nilikula ban miezi 6 na faini Β£300! Ninachojaribu kukufahamisha kuna mwendo wa ngiri ukikamatwa unakula point,ban na faini. Ukisababisha ajali unaweza kwenda jela kabisa. Speeding imenipa ban mara mbili akili ikanikaa sawa maana mara ya mwisho nilipoteza na kazi.Umenikumbusha darasani somo la Uraia tulifundishwa namna gani nchi ya Uingereza ilifanikiwa kupambana na tatizo la vifo vinavyotokana na ajali za barabarani..
Walipitisha sheria kua driving speed mwisho 70MPH,why? Sababu tafiti zilinaonesha kwamba mwili wa mwanadamu ukipata ajali kwenye speed 70MPH madhara yake madogo na ni ngumu kusababisha kifo kama ukiwa speed 80MPH
Ukizidisha Speed wanakupiga fine ambayo ni 100 pound ambayo inaitwa Fixed Penalty Notice(FPN) na kwenye leseni yako ya udereva wanaweka alama 3,ndani ya miaka mitatu ukipata points 12,leseni yako inafungiwa zaidi ya mwaka..na kama hujaendesha gari kwa miaka 2,points 6 tu zinatosha kufungiwa leseni..
Wenzetu wana akili na wanajali,huku kwetu hata tukiiga sheria hizo bado traffic atapewa elfu 5 anakuacha..
Sometimes it sucks kua mtu mweusi