Ajali zimekua nyingi muno

Ajali zimekua nyingi muno

kwizera fm

New Member
Joined
Apr 9, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Meli ya mizigo ya Kampuni ya FB Matara iliyokuwa inatoka Bukoba kwenda Mwanza ikiwa na wafanyakazi 10 na shehena ya sukari imezama Ziwa Victoria katikati ya visiwa vya Kerebe na Bumbile
 
Asante kwa taarifa, pole iwaendee ndugu wa waliopatwa na hilo gharika
 
Back
Top Bottom