Ajali za usafiri wa Majini ni sawa na za barabarani tz?. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali za usafiri wa Majini ni sawa na za barabarani tz?.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Noti mpya tz, Sep 11, 2011.

 1. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani Baada ya ajali ya Meli iliyoua ndugu zetu, jamaa zetu na marafiki zetu zanzibar nimekuwa nikifikiria sana kuhusu ajali, moja ya fikra zilizonijia ni kuhusu maisha ya watanzania kupotea ktk ajali za barabara na majini, miaka michache iliyopita Meli ya MV NYAMAGENI iliua watu mwanza na mmiliki wake alijaribu kufuatiliwa kwa sababu alikuwa ameshaambia aifanyie matengenezo na hakufanya hivyo mpaka inakuja kuua watu, sijui iliishaje maana sisi tz hatuna utamaduni wa kuwashitaki wenye pesa. Ajali za barabarani hata usiseme anajua Mungu tu.. Nimekuwa nikijiuliza pia, hivi hawa watu wanaopata ajali, kufa au kupata vilema vya maisha wamekuwa wakilipwa fidia kiasi gani??
   
 2. Maayo

  Maayo JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jukwaa la habari na hoja mchanganyiko.
   
 3. S

  Sanga n. Member

  #3
  Sep 11, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Inaonekana wewe ni mgeni na kama ni mwenyeji basi ww sio great thinker. Maana ya kuweka majukwaa ni nini? Kuwa makini, this is home of GREAT THINKERS.
  Usikurupuke, THINK BEFORE ACTION.
   
Loading...