Ajali za bodaboda na suluhu hii

Kitikiti

JF-Expert Member
Nov 4, 2015
353
249
Waendesha bodaboda wengi ni wazembe sana. Hawafuati sheria za barabarani. Wanasababisha hasara. Saa moja iliyopita mmoja wao amenusurika kufa. Kibaya zaidi wana ushirikiano wa hali ya juu.

Wakijua ni wao wamekosa solution ni; "Msiende polisi" "pataneni"?

Je, hii inasaidia?
 
Back
Top Bottom