Kila nikipita pale huwa nafkiria iko siku litakuwa janga la taifa.
Nadhani hawajifunzi mpaka baya litokeeNa kesho wataendelea na biashara kama kawa. Style ya mafuriko ya jangwani.
Hiyo sehemu naijua sana na siyo mala ya kwanza kutokea tukio kama hilo.sema ugumu wa maisha ndiyo unaopelekea watu waendelee kufanya biashara hapo.
Hivi ni kwanini umeme mkubwa kama huu ambao unapita maeneo hatarishi usingekuwa na nyaya zenye magamba ya plastic kwa ajili ya tahadhari? au technically umeme mkubwa lazima upitishwe wazi kama ilivyo hapo leo!!