Ajali ya treni unyamwezini.......

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125
capt_photo_1245717030666-1-0.jpg


capt_f29a0cda32a94efba633433097da9ef7_dc_metro_train_derailment_dccd103.jpg

capt_1c806a5317bf4b7283c2f879f7640537_dc_metro_train_derailment_dccd102.jpg


capt_photo_1245722685333-1-0.jpg


Treni ya abilia imesababisha mauaji mjini dc washington, Treni hiyo inayojulikana kama metro ambayo huwa katika msitari mwekundu na inayofanya safari yake ya kusaidia usafiri kati ka miji ya dc , maryland na virginia, imesababisha mauaji yanayokusudia watu zaidi ya kumi kufa papo hapo na wengine zaidi ya 50 wakiwa majeruhi
 
Thomas L. Friedman kaiandika sana hii reli na jinsi inavyohitaji matengenezo katika "That Used To Be US: How America Fell Behind In The World It Invented And How We Can Come Back".
 
Back
Top Bottom