Hizo ndo Tren za Bongo, CCM imeua Usafiri wa Tren ambao ndo rahisi na wa ghalama ndogo, na Matakoeo yake hao hao CCM ndo wanamiliki Maroli ya Kusomba mizigo kwa sasa, Inauma sana kuona Reli zikiwa zimefunikwa na Majani na Mchanga, Mfano Mzuri ni Reli Ya Tanga- Arusha,
Serikali haina mpango wa Kufufua hiz tren zaidi Ya Usanii wa Kununua Vichwa Vilivyo Choka kutumika Huko India, hii ni hatari sana na Inauma sana,
Na bira usafiri wa Reli ambao hutumika kusafirishia Mizigo Mizito, Hizi Barabara zetu tutakarabati sana make hata Barabara mpya haziwezi Dumu Miaka 10 kutokana na Uzito wa Mizigo inayo pitishwa juu yake