Wameungua wote, walibanwa na gariHivi dereva,konda na mama abiria wapo wapi?
Dereva na huyo Mama waliungua pia. Walibanwa baada ya gari kuanguka. Kuna watu walikuwa wanajaribu kuwanasua na walipoona kuna moto waliwaacha na kutimua mbio.Hivi dereva,konda na mama abiria wapo wapi?
Salama JF members,
Pole kwa wale waliopata msiba na majeruhi katika ajali ya Morogoro.
Mola awajalie marehemu wote Pumziko la Amani AMINA.
Naomba niende kwenye Mada husika,
Binafsi najiuliza kama ajali ya Morogoro ni KAFARA au SIYO KAFARA. Naomba kuainisha sababu zangu Kuu 2.
1. Eneo la Tukio, nimeangalia Leo asubuhi wakati PM akiwa eneo la tukio. Mazingira niliyo yaona ni kama vile Janga ni dogo ukilinganisha na idadi ya vifo na majeruhi.
2. Pikipiki zilizokuwa eneo la tukio zimeungua. Ila cha kushangaza Mipira ya Magurudumu ya Pikipiki ambayo ni PLASTIC haijaungua au kuungua kidogo.
Logic hizo mbili zinanifanya nijiulize kuwa ajali ya Morogoro ya Tarehe 10/8/2019 ni KAFARA au SIYO KAFARA
Nimeambatanisha picha ya eneo husika
Ahsanteni.
View attachment 1178331
Wameungua wote, walibanwa na gari
Kwahiyo baada ya kuokoa binadamu wenzao wao walikuwa katika harakati za kuokoa mafuta? | |
Mshana Jr ata tusaidia kwa hilo
Una maana Gamboshi wametoa adivataizi?Salama JF members,