Elimu unayoipata darasani lazima Inatumika katika maisha ya kawaida tatizo lipo kwa mwalimu anaewasilisha hyo mada kwa mwanafunzi pia na mwanafunzi anataka akariri ili afaulu mitihani tu, au hazingatii kabisa na hata mitihani anafeli,Poleni watanzania na Msiba mzito.
Ajali ya lori la mafuta Mkoani Morogoro limenifikirisha mbali sana.
Nimejiuliza sana juu ya uweelewa wa watanzania na ung'amuzi juu ya vitu vidogo vidogo lakini vyamsingi katika maisha.
Nimekwenda mbali zaidi kujihoji juu ya Elimu ya kawaida(msingi) ya darasani tuipatayo kama inaweza kutufanya kutafakari jambo angalau kwa mapana kama sio kukaririshwa mambo mengi ambayo yamkini robotatu hayatumiki moja kwa moja katika maisha ya kawaida.
Ikiwa tunajinasibu watanzania wengi kupata Elimu ya msingi lakini ajali kama za Morogoro na kwingineko hasa za mlipuko wa moto pale watu wanapotaka kuiba battery za magari baada ya kuanguka nayaona kama, ni matokeo ya elimu yetu kanakwamba haitufanyi kufiri au kujihami kabla hatujafanyajambo lolote, hivi tujiulize kidogo wanajopo , je ni kweli wahanga na mashuhuda awakujua ..
1. Battery kazi yake ni nini?
2. inatokea nini ikiwa utagusisha temino ya battery?
3. Atakama battery inahitajika kutolewa kwenye gari je terminal ipi ianze kufunguliwa?
4. Je kama nachota mafuta (petrol) ni tahadhari gani nichukue juu ya maisha yangu?
na mengine mengi.
Kwangu mimi naona nivyema tuangalie mitaala yetu kama kweli inatusaidia katika maisha ya kawaida na sio kuwakaririsha wanafunzi mambo mengi ya juu wakati mengine hayatumiki katika maisha ya kawaida.
Iddi njema
Yapo mengi sana ya kufikirisha na kusikitisha pia. Mbali na elimu lakini utu haupo tena!Poleni watanzania na Msiba mzito.

Mh!...huyu atakuwa kakwapua tu huo mtungi, huenda hajui hata kuutumia. Hapo anapiga mahesabu ya kuuza fasta!washajipangaView attachment 1179440
Na umesema kweli. Tulifundishwa tangu utotoni kuwa; Cha kuokota si mali yako haswa ukimjua mwenyewe. Usipomrudishia wewe ni mwizi. Ukifa utaenda Jehanam. Sio kwamba nawahukumu ila hawakuwa mahali sahihi na tendo lao sio sahihi. Msinitukane ila hata mimi nimehuzunishwaThen akasababisha jehhanam ndogo kwa wenzie
Correct
Tanzania elimu ni zero na ndio ujinga wetu tunakufa kwa kukosa uelewa.
CCM ya sasa ni upumbavu mtupu uongo kila sehemu kiasi kwamba Elimu yetu ni magumashi na data fake za matokeo
CCM ya Nyerere ilikuwa Smart sio hii ya wajingawajinga, kuzibana midomo , kutekana nk
Usiweke siasa kwenye mambo ya Msingi. Hizi ajali za Moto kutokana na mafuta tumezishuhudia Nigeria na Congo zikiua mamia ya watu, huko nako CCM inatawala?. Chuki zako za kisiasa zisiuharibu ufahamu wako.
Kajinyonge kama huamini
CCM ndio source ya ushenzi wa kila jambo ovu Tanzania
Elimu ya hovyo
Afya hovyo
Wasiojulikana
Siasa chafu
Matusi
Nk
Teja hana nafasi ya kuwaza hayo yako bali anachowaza ni kitu gani nitapata kama nikifanikiwa kuichukua hii betri.
Anachoona ni kiasi gani cha "dawa" nitajipatia nikiiuza hii betri. Wazo kwamba niitoeje hapo si tatizo bali niitoe fasta niiwahishe kwa tajiri nipate za kunitosha.
Kwanza; Mafuta unahitaji vitu kadhaa; dumu na kichoteo. Hakuna mahali nitalipata dumu hapa karibuni hivyo cha karibu ni betri. Elimu itasaidia nini?
Alichoona anaweza kwenda pata za kutosha ni betri. Ataichukua hata kwa kukata zile waya kwa kuzing'oa kwa nguvu ya mikono bila spana