Ajali Ya Mikese

eRRy

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2009
Posts
1,126
Reaction score
208
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=pQ9CfF-Osyk&feature=player_embedded[/ame]
 
Dah umekosea kutumia vibaya breaking news maana ajali ilisha tokea hii
 
poleni sana wafiwa kuna umuhimu wa traffic kuwepo kwenye mashindano haya na kuwaelekeza wananchi wapi pa kusimama huko mwenye kona mpaogope!
 
he he he!
huyu muhindi si yupo nje kwa dhamana?

Yeah huyu Ponjoro yupo nje kwa dhamana ya ten milion,
Ila tunashukuru kwa video ni uzembe wa watazamaji
 
poleni sana wafiwa kuna umuhimu wa traffic kuwepo kwenye mashindano haya na kuwaelekeza wananchi wapi pa kusimama huko mwenye kona mpaogope!
SIO BREKINGI NIUZI HII MDOGO WANGU!uwe na kawaida ya kufatilia taarifa za habari (kama upo tz)
 
Wabongo tunamalizika tu kwa visa ambavyo hata haviingii akilini!
Uswahili nao unachangia, si sheria washangiliaji kukaa zero distance from the track namna hiyo!
 
Wabongo tunamalizika tu kwa visa ambavyo hata haviingii akilini!
Uswahili nao unachangia, si sheria washangiliaji kukaa zero distance from the track namna hiyo!
umesahau wakati wa mabomu ya mbagala,umati mkubwa wa watu ulikuwa unamiminika kuelekea eneo la tukio kuangalia nini kimetokea/kinaendelea
 
Yeah huyu Ponjoro yupo nje kwa dhamana ya ten milion,
Ila tunashukuru kwa video ni uzembe wa watazamaji
jamani Fidel embu fikiria ungekuwa ni wewe au ndg yako ndo kapatwa na ajali hiyo...usiseme tu ni uzembe wa watazamaji...
hapo wa kulaumiwa ni waandaaji wa mashindano hayo kwa kutoweka watu husika (watu wa usalama barabarani) ili wasimamie suala zima la kudhibiti utaratibu wa shughuri zooooooote...

pole kwa wafiwa...
 
jamani Fidel embu fikiria ungekuwa ni wewe au ndg yako ndo kapatwa na ajali hiyo...usiseme tu ni uzembe wa watazamaji......

Narudia tena ni uzembe wa hao watazamaji hata kama angekuwepo ndg yangu tena ningemzaba vibao maana usicheze na vyombo vya moto wewe umeona walivyo simama kihasara hasara?
 
Narudia tena ni uzembe wa hao watazamaji hata kama angekuwepo ndg yangu tena ningemzaba vibao maana usicheze na vyombo vya moto wewe umeona walivyo simama kihasara hasara?
hata kama angekufa!ANGECHEZEA MAKOFI😀
 
Narudia tena ni uzembe wa hao watazamaji hata kama angekuwepo ndg yangu tena ningemzaba vibao maana usicheze na vyombo vya moto wewe umeona walivyo simama kihasara hasara?
well NOTED...lkn umesikia yule aliyetukana just a second before the accident?
 
Driver amekua charged with reckless driving. Uendeshaji wa uzembe. Funny! Kuna uzembo wakati wa rally?
Lawama kwa watazamaji. Jamani gari zinavyo kimbia unaweza kusimama pembeni ya bara bara kama una akili nzuri?
Ila nawapa pole waliokumbwa na mkasa huu
 
Hao jamaa wazembe wanastahili kupata walicho pata
sawa, kumbuka sisi sote ni binadamu...uwelewa wako wa mambo sio sawa na wengine...well, maisha ni safari ndefu...na usitukane mamba kabla hujavuka mto...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…