Awa wazamiaji ni wasanii tu,hatuombei janga jingine na Mungu apishie mbali,lakini next time hata wakitoa ofa ya kuja bure muwakatae,nakumbuka wakati wa MV Bukoba pale Mwanza walikuja wazamiaji toka Afrika ya kusini sijui ni hao hao au ni wengine,walikuja na mbwembwe zote zaki uzamiaji ,viatu vya kichura chura na pensi za plastic,watu wakawa na matumaini ya kuwapata wapendwa wao,matokeo yake wali dive wee lakini hakuna mwili hata mmoja walioupata,story zikawa ni zile zile meli iko mbali,maji ni machafu hatuoni mbali,mwisho wa siku wakasitisha zoezi waka lipwa nightt zao na kuondoka bila ku opoa mwili hata mmoja,nadhani hao ni wazamiaji kama sio wa kwenye swiming pool basi ni third class.Dawa tutrain wazamiaji wetu,wako watu pale kilwa kisiwani,bumbile ,Goziba, Lushala,Kigoto,Mwaloni,Tanga etc ambao hawajaenda shule kabisa lakini wamejifunza kwa kukulia ziwani na baharini,hawaitaji gharama kubwa kuwatambua,kuwapa refresher training, na kuwaweka kwenye data base,wanapewa posho kidogo kidogo na kuwapa training at least kila baada ya miezi 6,inapotokea emergency wanakuwa mobilized na wanakimbizwa kwenye tukio kuliko kuletaawa wazungu wababaishaji wasio na uzalendo,tuko mentally colonized na south Africa na China ,kila kitu tuanawaita wasaidie,kuna siku tutawaita watusaidie kuchimba makabuli.Shame on us.