Ameir Eshaq Member Joined Jan 3, 2011 Posts 35 Reaction score 1 Sep 11, 2011 #1 'I thought Tanzania is mourning the deaths of those who died when the ferry capsized..<br /> How come the beauty contest (Miss Tanzania) haven't been postponed?
'I thought Tanzania is mourning the deaths of those who died when the ferry capsized..<br /> How come the beauty contest (Miss Tanzania) haven't been postponed?
Ameir Eshaq Member Joined Jan 3, 2011 Posts 35 Reaction score 1 Sep 11, 2011 Thread starter #2 siku tatu imetolewa ya maombolezo si dhani ni vizuri kuendeleza vitu vingine kama miss...
JS JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 2,064 Reaction score 506 Sep 11, 2011 #3 When was the miss tz thing again?
Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,201 Sep 11, 2011 #4 JS said: When was the miss tz thing again? Click to expand... Last night!!
M mhondo JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 968 Reaction score 359 Sep 11, 2011 #5 Labda kwa sababu ilitangazwa maombolezo yataanza leo wakaona wamalize shughuli yao kabisa.
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Sep 11, 2011 #6 Ubinadam kaazi kweli kweli wewe au mimi mtachukulia janga ila wenzetu waandaaji wa mis tz ni jambo la kawaida
Ubinadam kaazi kweli kweli wewe au mimi mtachukulia janga ila wenzetu waandaaji wa mis tz ni jambo la kawaida
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,663 Sep 11, 2011 #8 mhondo said: Labda kwa sababu ilitangazwa maombolezo yataanza leo wakaona wamalize shughuli yao kabisa. Click to expand... Mkuu siku mpya huanza saa6 usiku, Je, hiyo Miss Tz iliisha kabla ya saa6?
mhondo said: Labda kwa sababu ilitangazwa maombolezo yataanza leo wakaona wamalize shughuli yao kabisa. Click to expand... Mkuu siku mpya huanza saa6 usiku, Je, hiyo Miss Tz iliisha kabla ya saa6?
N Ndinani Platinum Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,812 Reaction score 4,833 Sep 11, 2011 #9 Priority ya serikali ya ccm ni kushinda uchaguzi na sio usalama wa raia wake!! Life must go on unabated.
Priority ya serikali ya ccm ni kushinda uchaguzi na sio usalama wa raia wake!! Life must go on unabated.