ni kona ya Jet Lumo semi trailer imeangusha container iliyokwenda kuangukia juu ya daladala iliyokuwa kituoni majeruhi na vifo bado hakuna taarifa kwakuwa container ni zito na crane iliyokuja imeshindwa kulinyanyua
Imekuja kwa mfumo wa picha sasa, wee uliipata mchana wengine jioni wengine saa hii na wengine pengine kesho, kwenye heading hakuna neno breaking news au news alert
Hii ni hatari maana izirael wa kupindua vyuma yupo maeneo hayo sana Leo mda sio mrefu behewa la tren limepinduka vingunguti nyuma ya godaun la Azam sasa ni shidaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.