Ajali ya jahazi

Mhache

JF-Expert Member
Jun 20, 2008
345
24
Watu kadhaa wamekufa kutokana na moto kuwaka ndani jahazi. Chanzo cha ajali hiyo hiyo ni moto ulioanzia kwenye magodoro yaliyokuwa ndani ya jahazi hiyo iliyokuwa ikitokea Tanga. Inasemekana kwamba moto ulisambaa kwa haraka kutokana upepo mkali uliokuwa ukivuna. Je katika hili who is to blame?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…