Mwanahabari Huru JF-Expert Member Joined Mar 9, 2015 Posts 14,242 Reaction score 34,917 Jun 21, 2016 #1 Songea, Ruvuma MTU mmoja ambaye hakufahamika jina lake aliyekuwa akiendesha baiskeli amegongwa na gari ndogo ya abiria aina ya Toyota Hiace na kufa papo hapo maeneo ya Mfaranyaki mjini Songea mkoani Ruvuma leo.
Songea, Ruvuma MTU mmoja ambaye hakufahamika jina lake aliyekuwa akiendesha baiskeli amegongwa na gari ndogo ya abiria aina ya Toyota Hiace na kufa papo hapo maeneo ya Mfaranyaki mjini Songea mkoani Ruvuma leo.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,652 Reaction score 74,521 Jun 21, 2016 #3 Majeruhi Mungu Awape Wepesi
sylvesterkangozi New Member Joined Jun 19, 2016 Posts 3 Reaction score 0 Jun 23, 2016 #4 Poleeeeeeni watz wenzangu